Jicho la Joka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jicho la Joka.

Jicho la joka ni alama ya kale ya Kijerumani iliyokusanywa na Rudolf Koch.

Jicho la joka ni pembetatu pacha inayoelekea chini, na "Y" katikati inayounganisha pointi tatu za pembetatu hizo pamoja.

Kwa mujibu wa kamusi ya maonyesho ya Carl G. Liungman, pembetatu hizo zinaonesha tishio na "Y" ina maana ya uchaguzi kati ya mema au mabaya.