Jessie Mae Hemphill
Mandhari
Jessie Mae Hemphill (amezaliwa 18 Oktoba, 1923 – amefariki 22 Julai, 2006)[1] alikuwa mpiga gitaa wa umeme, mtunzi wa nyimbo na mwimbaji wa Marekani aliyebobea katika muziki wa Hill country blues, akifuata mila za familia yake na urithi wa kikanda.[2][3] [4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Cheseborough, Steve (2008). "Senatobia". Blues Traveling: The Holy Sites of Delta Blues. University Press of Mississippi. uk. 243. ISBN 978-1-60473-328-0. Iliwekwa mnamo 25 Mei 2015.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Jessie Mae Hemphill, 71, Blues Musician, Dies". New York Times. Julai 25, 2006.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Jessie Mae Hemphill: 1959 recordings at the Alan Lomax Archive
- ↑ Jessie Mae Hemphill: A Delta Blues Composer/Performer of the 1980s essay
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jessie Mae Hemphill kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |