Jesús Vallejo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vallejo mnamo mwaka 2022
Vallejo mnamo mwaka 2022

Jesús Vallejo Lázaro (alizaliwa tarehe 5 Januari 1997) ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anachezea timu ya Real Madrid kama mkabaji wa kati.

Jesús Vallejo amachezea timu mbili za klabu katika maisha yake ya kucheza mpira. Ambazo ni:

  1. Zaragoza
  2. Real Madrid

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jesús Vallejo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.