Nenda kwa yaliyomo

Jesús Castro Marte

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jesús Castro Marte (alizaliwa 18 Machi 1966) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Jamhuri ya Dominika, akiwa askofu wa Jimbo la Higüey tangu mwaka 2020.

Kabla ya hapo, alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Santo Domingo na askofu wa jimbojina la Giufi kuanzia 2017 hadi 2020.[1]

  1. "Nomina degli Ausiliari dell'Arcidiocesi di Santo Domingo (Repubblica Dominicana)" (kwa Italian). Vatican Press. 1 Julai 2017. Iliwekwa mnamo 1 Septemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.