Jesé

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchezaji wa mpira wa miguu, Jesé.

Jese Rodríguez Ruiz (matamshi ya Kihispania: [xese roðɾiɣeθ rwiθ]; anajulikana kama Jesé Rodríguez au kama Jesé tu; alizaliwa 26 Februari 1993) ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza kama mchezaji wa mbele wa Real Betis, kwa mkopo kutoka Paris Saint-Germain.

Mchezaji huyu alikuwa mchezaji wa klabu ya Real Madrid mwaka 2011 hadi 2016.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jesé kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.