Jerson Cabral

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Jerson Cabral

Jerson Cabral (alizaliwa Rotterdam, 3 Januari 1991) ni mchezaji wa soka wa timu ya taifa ya Uholanzi na Cape Verde ambaye anacheza kama winga wa klabu ya Levski Sofia.

Alicheza katika klabu ya Feyenoord, FC Twente, ADO Den Haag na Willem II kabla ya kwenda Bastia na Levski Sofia.

Bastia[hariri | hariri chanzo]

Wakati wa majira ya baridi 2016 Cabral alihamia nje ya nchi kwa uhamisho wa bure kwa upande wa Ufaransa katika klabu ya Bastia, lakini alikopwa na klabu ya Sparta katika dirisha la uhamisho la Januari 2017.

Levski Sofia[hariri | hariri chanzo]

Mnamo tarehe 12 Septemba 2017, Cabral alisaini mkataba wa miaka miwili na klabu ya Bulgaria Levski Sofia.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jerson Cabral kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.