Jerry Silaa
Mandhari
Jerry William Silaa (amezaliwa 9 Februari 1982) ni mwanasiasa wa Tanzania ambaye kwa sasa ni Waziri wa Teknolojia ya habari na Mawasiliano (TEHAMA).[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "President Samia reshuffles cabinet, names new foreign minister". The East African (kwa Kiingereza). 2023-08-30. Iliwekwa mnamo 2023-09-11.
- ↑ "What difference are they going to make?". The Citizen (kwa Kiingereza). 2023-08-31. Iliwekwa mnamo 2023-09-11.
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jerry Silaa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |