Nenda kwa yaliyomo

Jerry Kuma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jerry Samuel Yao-Kuma ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Madini na Teknolojia (UMaT) kilichopo Tarkwa, Ghana.[1]

Maisha ya Awali na Elimu

[hariri | hariri chanzo]

Yao-Kuma alizaliwa Dzolo-Kpuita, kijiji kilichopo karibu na mji wa Ho katika Mkoa wa Volta, nchini Ghana.

  1. "UMaT inducts Prof J.S.Y. Kuma as Vice Chancellor". myjoyonline.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 Aprili 2014. Iliwekwa mnamo 30 Machi 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jerry Kuma kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.