Nenda kwa yaliyomo

Jerry Eisenberg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jerry Eisenberg (14 Desemba 193711 Februari 2025) alikuwa mtayarishaji wa televisheni, mchoraji wa vibonzo, msanifu wa hadithi kwa picha, na mbunifu wa wahusika kutoka Marekani.

Alijulikana sana kwa kazi yake katika Hanna-Barbera Productions na Ruby-Spears Productions. [1][2][3]

  1. "Jerry Eisenberg interview (parts one through six)". YOWP: Stuff About Early Hanna-Barbera Cartoons. Iliwekwa mnamo 2013-05-12.
  2. "Jerry Eisenberg, 'Peter Potamus,' 'Wacky Races' and 'Fangface' Animator, Dies at 87". The Hollywood Reporter. Februari 14, 2025. Iliwekwa mnamo Februari 15, 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Jerry Eisenberg, R.I.P." News from Me. Februari 12, 2025. Iliwekwa mnamo Februari 15, 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jerry Eisenberg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.