Jerome Blake

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jerome Blake (alizaliwa Agosti 18, 1995) ni mwanariadha wa nchini Kanada aliyebobea katika mbio ndefu na fupi[1].

Alizaliwa nchini Jamaika, Blake alihamia Kanada mwaka 2013 na sasa anaishi Kolombia[1].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Jerome Blake (en-US). Team Canada - Official Olympic Team Website. Iliwekwa mnamo 2021-11-27.