Nenda kwa yaliyomo

Jerez de la Frontera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jerez de la Frontera ni mji wa Hispania, katika Mkoa wa Cádiz.

Mwaka 2019 wakazi wake walikuwa 212,749 [1] na kuufanya wa ishirini na sita nchini kwa wingi wa watu.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Cifras oficiales de población resultantes de la revisión del Padrón municipal a 1 de enero. Detalle municipal". INE.
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jerez de la Frontera kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.