Jera (ngoma)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Jera (Ngoma ya Kitamaduni))
| Jera (ngoma) | |
|---|---|
| Jina | Jera |
| Jamii inayocheza | Wadagomba |
| Eneo | Kaskazini mwa Ghana |
| Nchi | Ghana |
| Aina | Ngoma ya kitamaduni |
| Dhumuni | Burudani, sherehe, utambulisho wa kitamaduni |
| Muziki unaoambatana | Ngoma za jadi, ala za asili |
| Wakati wa kuchezwa | Sherehe, tamasha, hafla za kijamii |
Jera ni ngoma ya kitamaduni inayochezwa sana na Wadagomba wa Mkoa wa Kaskazini ya Ghana.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "ADE | Repertoire". www.afridance.com. Iliwekwa mnamo 2020-05-17.
- ↑ "Dagomba Drumming Archives". Ghana Goods (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2020-05-17.