Nenda kwa yaliyomo

Jens Olavssøn Bratt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jens Olavssøn Bratt (Kigezo:C. – 12 Juni 1548) alikuwa kiongozi wa kanisa kutoka Norway.[1]

Bratt alizaliwa katika kijiji cha Andenes kilicho katika kisiwa cha Andøya katika mkoa wa Nordland, Norwei. Alitoka katika familia mojawapo iliyobaki kutoka kwa tabaka la zamani la watu wa cheo (aristocracy) ya Norway, na alikuwa mdogo wa Torbjørn Olavssøn Bratt. Yeye na kaka yake wote walihudhuria Chuo Kikuu cha Cologne.[2]

  1. Godal, Anne Marit (mhr.). [(https://snl.no/Jens_Olavssøn_Bratt) "Jens Olavssøn Bratt"]. Store norske leksikon (kwa Norwegian). Oslo: Norsk nettleksikon. Iliwekwa mnamo 17 Agosti 2013. {{cite encyclopedia}}: Check |url= value (help)CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  2. [") Torbjørn Olavssøn Bratt, Biskop". Norsk biografisk leksikon. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka [chanzo mnamo ) August 16, 2016. Iliwekwa mnamo July 15, 2016. {{cite web}}: Check |archive-url= value (help); Check |url= value (help); Check date values in: |archive-date= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jens Olavssøn Bratt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.