Nenda kwa yaliyomo

Jenny Lou Carson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jenny Lou Carson (amezaliwa 13 Januari, 1915 – amefariki 16 Desemba, 1978), aliyezaliwa kama Virginia Lucille Overstake alikuwa mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa muziki wa country kutoka Marekani na mwanamke wa kwanza kuandika wimbo wa muziki wa country ulioshika namba moja kwenye chati.[1][2][3]

  1. Langley, Jerry; Rogers, Arnold (2005). Many Tears Ago The Life and Times of Jenny Lou Carson. Nova Books. ISBN 0-9628452-4-8. Iliwekwa mnamo Julai 10, 2015.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Samuelson, Dave (1998). The Encyclopedia of Country Music, page538. Oxford University Press. ISBN 978-0-19-977055-7. Iliwekwa mnamo Desemba 3, 2013.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Whitburn, Joel (2004). The Billboard Book Of Top 40 Country Hits: 1944–2006, Second edition. Record Research. uk. 292.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jenny Lou Carson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.