Jenny Aloni
Mandhari
Jenny Aloni ({he|יני אלוני}}; alizaliwa kama Jenny Rosenbaum יני רוזנבאום; 7 Septemba 1917 – 30 Septemba 1993) alikuwa mwandishi wa hadithi na riwaya wa asili ya Ujerumani na Israeli, ambaye anachukuliwa kuwa mmoja wa waandishi muhimu zaidi wa fasihi ya lugha ya Kijerumani nchini Israeli.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Jenny Aloni (kwa Kijerumani). Lexikon Westfälischer Autorinnen und Autoren.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jenny Aloni kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |