Jengish Chokusu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Jengish Chokusu

Jengish Chokusu ni mlima wenye kimo cha m 7,439 juu ya usawa wa bahari.

Uko kati ya China na Kirgizia.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jengish Chokusu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.