Nenda kwa yaliyomo

Jeannette Kagame

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jeannette Murutubarwe Nyiramongi Kagame (Jeannette Nyiramongi,[1] alizaliwa 10 Agosti 1962) ni mke wa Paul Kagame. Alipata nafasi ya kuwa First Lady wa Rwanda wakati mumewe alipochukua madaraka kama Rais wa Rwanda mwaka 2000. Kagame ndiye mwanzilishi na mwenyekiti wa Imbuto Foundation,[2] shirika lisilo la kibiashara lenye lengo la kusaidia maendeleo ya jamii yenye afya, elimu, na ustawi.

  1. "His Excellency Paul Kagame, President of the Republic of Rwanda". paulkagame.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Septemba 2009. Iliwekwa mnamo 11 Oktoba 2009. Paul Kagame is married to Jeannette Nyiramongi and they have four children.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Our Founder and Chairperson - IMBUTO Foundation". www.imbutofoundation.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 20 Mei 2022. Iliwekwa mnamo 20 Oktoba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jeannette Kagame kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.