Nenda kwa yaliyomo

Jeanne Leleu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jeanne Leleu (29 Desemba 1898 – 11 Machi 1979) alikuwa mpiga piano na mtunzi wa muziki wa Kifaransa. Alizaliwa Saint-Mihiel kaskazini-mashariki mwa Ufaransa; baba yake alikuwa kiongozi wa bendi na mama yake alikuwa mwalimu wa piano.[1]

Aliingia katika Conservatoire de Paris akiwa na umri wa miaka tisa, ambapo alisoma chini ya Marguerite Long, Georges Caussade, Alfred Cortot na Charles-Marie Widor. Pamoja na Geneviève Durony, Leleu alitoa onyesho la kwanza la kazi ya Ravel ya Ma mère l'oye mwaka 1910.[2]

Ravel aliandika kipande chake cha Prélude kwa ajili ya shindano la kusoma muziki kwa kuona (*sight-reading*) katika Konsevatoria ya Paris mwaka 1913, na Leleu alishinda tuzo hiyo.

  1. Sadie, Julie Anne; Samuel, Rhian (1994). [The) Norton/Grove Dictionary of Women Composers (kwa Kiingereza). W. W. Norton & Company. ISBN 9780393034875. {{cite book}}: Check |url= value (help)
  2. [(https://dezede.org/evenements/?individu=%7C12547%7C) "Wednesday 20 April 1910 Paris, Salle Gaveau, Société musicale indépendante, 21:00"]. dezede.org. Iliwekwa mnamo 14 Desemba 2024. {{cite web}}: Check |url= value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jeanne Leleu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.