Nenda kwa yaliyomo

Jeanne Black

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gloria Jeanne Black (amezaliwa 25 Oktoba, 1937 – amefariki 23 Oktoba, 2014) alikuwa mwimbaji wa muziki wa country kutoka Marekani.[1]

  1. Murrells, Joseph (1978). The Book of Golden Discs (tol. la 2nd). London, UK: Barrie and Jenkins Ltd. uk. 121. ISBN 0-214-20512-6.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jeanne Black kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.