Nenda kwa yaliyomo

Jean du Bellay

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jean du Bellay (1492 – 16 Februari 1560) alikuwa mjumbe wa diplomasia wa Ufaransa na kardinali, mdogo wa Guillaume du Bellay, na binamu na mhamasishaji wa mshairi Joachim du Bellay.[1]

Alikuwa askofu wa Bayonne kuanzia 1526, mshiriki wa Conseil privé (baraza la faragha) la Mfalme Fransisko I kuanzia 1530, na askofu wa Paris kuanzia 1532. Alikuwa Askofu wa Ostia na Deani wa Makardinali mnamo 1555.[2]

Henry II wa Ufaransa
Fransisko I wa Ufaransa
François Rabelais
  1. ↑ Léon Séché, "Le Cardinal du Bellay," Revue de la renaissance 1 (1901), 217–238, pp. 217–219.
  2. ↑ Jean Pinsson de la Martiniere (1661). La Connestablie et Mareschavssee de France, ou recueil de tous les edicts ... sur le pouvoir et jurisdictioni de ... Connestables et Mareschaux de France (etc.) (kwa Kifaransa). Paris: Rocolet. ku. 495–496.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.