Jean de La Grange
Mandhari

Jean de La Grange, O.S.B. (1325 – 25 Aprili 1402) alikuwa askofu, kardinali na mwanasiasa wa Ufaransa, aliyekuwa na ushawishi mkubwa wakati wa utawala wa mfalme Charles V na Charles VI. Alikuwa mshiriki muhimu wa curia ya upapa huko Avignon wakati wa Farakano la Kanisa la Magharibi.[1]
Alikuwa ndugu wa Étienne de La Grange, mshauri wa mfalme na rais wa Parlement ya Ufaransa.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Untitled Document". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Septemba 15, 2007. Iliwekwa mnamo Juni 18, 2007.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ La Grange is depicted on the Beau Pilier d'Amiens, "Localisation du Beau Pilier". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-02-25. Iliwekwa mnamo 2007-06-18.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |