Nenda kwa yaliyomo

Jean de Dieu-Raymond de Cucé de Boisgelin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jean de Dieu-Raymond de Cucé de Boisgelin (27 Februari 173222 Agosti 1804) alikuwa miongoni mwa viongozi wa Kanisa Katoliki la Ufaransa, askofu mkuu na kardinali.

Familia ya Boisgelin ya Cucé ni tawi dogo la familia ya Boisgelin. Binamu yake ni mwandishi maarufu Louis de Boisgelin.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.