Jean Zerbo
Mandhari
Jean Zerbo (alizaliwa 27 Desemba 1943) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Mali ambaye alihudumu kama Askofu Mkuu wa Bamako kuanzia mwaka 1998 hadi 2024.
Papa Fransisko alimteua kuwa kardinali mnamo 28 Juni 2017. Yeye ni kardinali wa kwanza kutoka Mali.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Brockhaus, Hannah (28 Juni 2017). "Pope Francis to Five New Cardinals: Jesus 'Calls You to Serve Like Him and With Him'". National Catholic Register. Iliwekwa mnamo 28 Juni 2017.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |