Nenda kwa yaliyomo

Jean Verdier

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jean Verdier, PSS (19 Februari 18649 Aprili 1940) alikuwa Kardinali wa ufaransa wa Kanisa Katoliki. Alishika nafasi ya Askofu Mkuu wa Paris kuanzia 1929 hadi kifo chake na aliteuliwa kuwa kardinali mwaka huohuo wa 1929.[1]

  1. Catholic Hierarchy
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.