Jean Mueller
Mandhari
Jean Mueller (alizaliwa 1950) ni mwanaastronomia wa Marekani na mgunduzi wa nyotamkia, sayari ndogo , na idadi kubwa ya supernova katika Palomar Observatory huko California. Yeye ni mmoja wa wanawake wachache wanaotambulika katika uwanja wa ugunduzi wa nyotamkia.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Hume, Charity (Septemba 25, 2025). "The librarian who became Palomar's first female telescope operator, and who discovered her own comets". The Los Angeles Times.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jean Mueller kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |