Jean Jules Jusserand
Mandhari
Jean Adrien Antoine Jules Jusserand (18 Februari 1855 – 18 Julai 1932) alikuwa mwanasiasa na mwanahistoria kutoka nchi ya Ufaransa. Wakati wa Vita_Kuu_ya_Kwanza_ya_Dunia alikuwa balozi wa Ufaransa nchini Marekani. Mwaka wa 1917, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake With Americans of Past and Present Days".
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jean Jules Jusserand kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |