Nenda kwa yaliyomo

Jean Damascène Bimenyimana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jean Damascène Bimenyimana (22 Juni 1953 – 11 Machi 2018) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki.

Bimenyimana alipadrishwa mwaka 1980. Alihudumu kama askofu wa Jimbo Katoliki la Cyangugu, Rwanda, kuanzia mwaka 1997 hadi alipofariki dunia mwaka 2018.[1][2][3]

  1. Diocese of Cyangugu
  2. Monsignor Binenyimana of Cyangugu Dies Aged 65
  3. "Bishop Bimenyimana, 65, died". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2025-01-28. Iliwekwa mnamo 2025-01-28.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.