Nenda kwa yaliyomo

Jean-Paul Vesco

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jean-Paul Vesco, O.P. (alizaliwa 10 Machi 1962) ni kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Ufaransa ambaye ni Askofu Mkuu wa Algiers. Ametumikia muda mwingi wa maisha yake ya kikleri nchini Algeria, akiwa Askofu wa Oran kuanzia 2012 hadi 2021.

Ni mwanachama wa Wadominiko na aliongoza shirika hilo nchini Ufaransa kati ya 2010 na 2012. Papa Fransisko alimteua kuwa kardinali tarehe 7 Desemba 2024.[1]

  1. ↑ (in it) Rinunce e Nomine, 01.12.2012 (Press release). Holy See Press Office. 1 December 2012. https://press.vatican.va/content/salastampa/it/bollettino/pubblico/2012/12/01/0699/01603.html. Retrieved 27 December 2021.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.