Nenda kwa yaliyomo

Jean-Marie Speich

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jean-Marie Speich (alizaliwa 15 Juni 1955) ni askofu wa Ufaransa wa Kanisa Katoliki ambaye amefanya kazi katika idara ya kidiplomasia ya Vatikani tangu mwaka 1986.

Amekuwa askofu mkuu tangu 2013 na Balozi wa Papa (Apostolic Nuncio) nchini Slovenia pamoja na Mwakilishi wa Papa (Apostolic Delegate) kwa Kosovo tangu Machi 2019.[1]

  1. Cf. Pays d'Alsace, Willgottheim Woellenheim, Deux villages du Kochersberg, Société d'Histoire et d'Archéologie de Saverne et environs, No. 120 -123 (1982-1983), ISSN 0245-8411.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.