Jean-Marie Kélétigui
Mandhari
Jean-Marie Kélétigui (12 Mei 1932, Gnénankaha, Afrika Magharibi ya Kifaransa – 31 Agosti 2010) alikuwa askofu wa Ivory Coast wa Jimbo Katoliki la Katiola kuanzia tarehe 7 Julai 1977 hadi alipostaafu tarehe 10 Oktoba 2002.
Baada ya kustaafu, alipewa hadhi ya Askofu Mstaafu wa Katiola hadi kifo chake mwaka 2010 akiwa na umri wa miaka 78.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bishop Jean-Marie Kélétigui, Bishop Emeritus of Katiola". Catholic Hierarchy. Iliwekwa mnamo 2010-09-16.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |