Nenda kwa yaliyomo

Jean-Marie-Rodrigue Villeneuve

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jean-Marie-Rodrigue Villeneuve, O.M.I. (2 Novemba 188317 Januari 1947) alikuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Kanada.

Alikuwa Askofu Mkuu wa Quebec kuanzia 1931 hadi kifo chake, na aliteuliwa kuwa kardinali mwaka 1933.[1]

  1. TIME Magazine. "It Is the End" January 27, 1947
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.