Nenda kwa yaliyomo

Jean-Louis Bruguès

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jean-Louis Bruguès, O.P. (alizaliwa 22 Novemba 1943) ni askofu mkuu wa Kanisa Katoliki kutoka Ufaransa. Alikuwa Mtunza Kumbukumbu na Mkutubi wa Kanisa Takatifu la Roma kuanzia mwaka 2012 hadi 2018.

    Makala hii bado ni mbegu.
    Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
    Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.