Nenda kwa yaliyomo

Jean-Gabriel Diarra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Diarra mwaka 2014

Jean-Gabriel Diarra (12 Julai 194528 Oktoba 2019) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki nchini Mali.

Diarra alizaliwa Mali na alipata daraja Ya upadre mwaka 1972. Alitumikia kama askofu wa Jimbo Katoliki la San, Mali, kuanzia mwaka 1987 hadi kifo chake mwaka 2019. [1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.