Nenda kwa yaliyomo

Jean-Claude Turcotte

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jean-Claude Turcotte (26 Juni 19368 Aprili 2015) alikuwa kardinali wa Kanisa Katoliki la Kanada.

Alikuwa Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Montreal kutoka 1990 hadi 2012.[1]

  1. "Jean-Claude Turcotte, Former Archbishop of Montreal, Dies at 78". New York Times. Associated Press. 8 Aprili 2015. Iliwekwa mnamo 11 Aprili 2015.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.