Jean-Claude Hollerich
Mandhari
Jean-Claude Hollerich, S.J. (alizaliwa 9 Agosti 1958) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Luxembourg ambaye amehudumu kama Askofu Mkuu wa Luxembourg tangu 2011. Alikuwa rais wa Tume ya Mabaraza ya Maaskofu wa Jumuiya ya Ulaya (COMECE) kuanzia Machi 2018 hadi 2023. Pia ni mwanachama wa Shirika la Yesu (Jesuits).[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Thill, Ryck (5 Oktoba 2019). "Archbishop of Luxembourg Jean-Claude Hollerich ordained as cardinal". RTL Today. Iliwekwa mnamo 7 Oktoba 2019.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |