Nenda kwa yaliyomo

Jean-Charles Canetti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jean-Charles Canetti (15 Juni 19457 Februari 2025) alikuwa mchezaji wa soka kutoka Italia aliyechezaji kama beki.

Canetti alichezea vilabu vitatu katika kipindi cha kazi yake: Nîmes, Arles, na Olympique Alès. Alifariki katika mji wa Parignargues tarehe 7 Februari 2025, akiwa na umri wa miaka 79. [1][2][3]

  1. Sallafranque, Hervé (7 Februari 2025). "L'ancien joueur du Nîmes Olympique Jean-Charles Canetti est décédé à l'âge de 80 ans". France Bleu (kwa French). Nîmes. Iliwekwa mnamo 20 Februari 2025.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  2. "worldfootball.net".
  3. "NÎMES OLYMPIQUE Jean-Charles Canetti, ancien défenseur des Crocos est décédé". Objectif Gard (kwa French). 7 Februari 2025. Iliwekwa mnamo 20 Februari 2025.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jean-Charles Canetti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.