Nenda kwa yaliyomo

Jean-Berchmans Nterere

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jean-Berchmans Nterere (1 Septemba 1942 huko Nkuna – 2001) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Burundi na Askofu wa Jimbo Katoliki la Muyinga.

Alipadrishwa mwaka 1970 na aliteuliwa kuwa Askofu mwaka 1992.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.