Jayne Atkinson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jayne Atkinson

Amezaliwa 18 Februari 1959 (1959-02-18) (umri 65)
Bournemouth, Uingereza
Miaka ya kazi 1987-hadi
Ndoa Michel Gill (1998-hadi leo)
Tovuti rasmi

Jayne Atkinson (amezaliwa tar. 18 Februari 1959) ni mshindi wa Tuzo ya Tony, akiwa kama mwigizaji bora wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Karen Hayes kutoka katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha 24. Vilevile anafahamika kwa kucheza kama Theresa LePore katika filamu ya Recount. Kiasili, anatoka Uingereza, lakini wazazi wake walielekea Marekani akiwa na umri wa miaka tisa.

Filamu[hariri | hariri chanzo]

 • White Collar (2011)
 • Gossip Girl (2010) - Dean Reuther
 • Handsome Harry (2009) - Mke wa Kelly
 • Recount (2008) - Theresa LePore
 • Law & Order (2008) - Senator Melanie Carver
 • Law & Order: Special Victims Unit (2008) - Assistant U.S. Attorney Marion Springer
 • Criminal Minds (2007–) - Erin Strauss, vipindi 13
 • 24 (2006–2007) - Karen Hayes, vipindi 30
 • 12 and Holding (2006) - Ashley Carges
 • Joan of Arcadia (2004) - Fran Montgomery
 • Syriana (2005) - Division Chief
 • The Village (2004) - Tabitha Walker
 • Our Town (2003) - Mrs. Gibbs
 • The Education of Max Bickford (2003) - Lyla Ortiz
 • Law & Order (2002) - Dr. Claire Snyder
 • The Practice (1997) - Ruth Gibson
 • Free Willy 2: The Adventure Home (1995) - Annie Greenwood
 • The X-Files (1995) - Willa Ambrose
 • Blank Check (1994) - Sandra Waters
 • Free Willy]] (1993) - Annie Greenwood
 • Parenthood]] (1990) - Karen Buckman
 • A Year in the Life (1987–1988) - Lindley Gardner Eisenberg
 • A Year in the Life (1986) - Lindley Gardner Eisenberg

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jayne Atkinson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.