Jayden Nelson
Mandhari

Jayden Nelson (aliyezaliwa Septemba 26, 2002) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka Kanada ambaye anacheza kama mchezaji wa pembeni kwa klabu ya Ujerumani ya SSV Ulm kwa mkopo kutoka klabu ya Rosenborg BK na pia ni mchezaji wa Timu ya taifa ya wanaume ya Kanada.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nelson says new-look TFC has more of a family feel". Sportsnet. Machi 2, 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Galindo, Peter (Mei 13, 2016). "Tactical breakdown: Jayden Nelson still a work in progress for Toronto FC". TFC Republic.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Jayden Nelson profile". ATG Sports Management. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2025-01-22. Iliwekwa mnamo 2025-01-22.
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jayden Nelson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |