Jay Melody

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jay Melody
Jina la kuzaliwa Sharif Saidi Juma
Amezaliwa 12 Juni 1997 (1997-06-12) (umri 26)
Asili yake Dar es Salaam, Bendera ya Tanzania Tanzania.
Aina ya muziki Dansi
Hip Hop
Pop
Bongo Flava
Kazi yake Mwanamuziki
Mwandishi
Mwigizaji
Ala Ngoma
Sauti
Aina ya sauti Pop
Miaka ya kazi 2020 - hadi leo
Studio Epic Records
Ame/Wameshirikiana na Bill Nass
Marioo
Nandy
Barnaba
Dogo Janja
Shilole
Rayvanny
Harmonize
Aslay
Tovuti https://www.youtube.com/@JayMelody/YT]


Sharif Said Juma (maarufu kama Jay Melody; alizaliwa Mwananyamala, Dar es Salaam, Tanzania, 12 Juni 1997) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Tanzania.[1] [2]

Jay Melody Amesainiwa na Epic Records nchini Tanzania na anajulikana kwa nyimbo kama Chini, Ego, Stom, Jockin Me, Wenge, Nitasema, Me Gusta, Haiwezekani, Corona Basi, Oxygen, Bojo, Mikongo sio, Raha tele, Sugar, Ndoga, Zeze, Halafu, Samaba Loketo, Acha Wivu, Namwaga Mboga, Goroka, Huba Hulu, Najiweka, Nakupenda.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jay Melody kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.