Javier Pastore

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Javier Pastore akishangilia.

Javier Matías Pastore (alizaliwa Córdoba, Argentina, 20 Juni 1989) ni mchezaji wa soka wa Argentina ambaye anacheza kama kiungo wa kushambulia. Klabu yake ni Paris Saint-Germain na timu yake ya taifa ni Argentina.

Pastore alianza kazi yake katika timu yaTalleres na kisha akaenda Huracán katika timu yake ya Taifa ya Argentina yak kabla ya kuhamia timu ya kundi A mwaka 2009 kwa alisajiliwa kwa€ 4.7 milioniMwaka 2011, alisajiliwa kwenda Paris Saint-Germain kwa 39.8 milioni.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Javier Pastore kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.