Nenda kwa yaliyomo

Javi Navarro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Francisco Javier "Javi" Vicente Navarro (amezaliwa 6 Februari, 1974) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu kutoka Hispania ambaye alicheza kama beki wa kati.

Katika kariya yake, aliwakilisha zaidi klabu za Valencia CF na Sevilla FC, ambapo alipata mafanikio makubwa akiwa na Sevilla, akishinda mataji matano makuu, ikiwa ni pamoja na mataji mawili ya UEFA Europa League.

Katika kipindi cha misimu 15, ambacho kilikumbwa sana na majeraha, alicheza mechi 224 za La Liga na kufunga mabao matatu.[1][2][3]

  1. Turner, Lucy (8 Mei 2006). "Navarro offers no quarter". UEFA. Iliwekwa mnamo 26 Aprili 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Javi Navarro: 'Antes mi trabajo era parecido y no iba a la selección'" [Javi Navarro: 'I worked in a similar fashion before and I did not go to the national team']. El Mundo (kwa Kihispania). 10 Novemba 2006. Iliwekwa mnamo 19 Desemba 2022.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Laguía, D. (14 Novemba 2006). "El día más feliz de Javi Navarro" [Javi Navarro's happiest day]. Levante-EMV (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 27 Julai 2022.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Javi Navarro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.