Jarrad Branthwaite
Mandhari
Jarrad Paul Branthwaite (amezaliwa 27 Juni 2002) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza (soka) anayekipiga kama centre-back kwa klabu ya Everton na pia timu ya taifa ya England (England).
Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]Jarrad Paul Branthwaite[1] alizaliwa tarehe 27 Juni 2002[2] mjini Carlisle, Cumbria.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ [(https://www.premierleague.com/news/3886218) "Latest updated Premier League squad lists for 2023/24"]. Premier League. 8 Februari 2024. Iliwekwa mnamo 22 Machi 2024.
{{cite web}}: Check|url=value (help)[dead link] - ↑ [(https://www.premierleague.com/players/66318/Jarrad-Branthwaite/overview) "Jarrad Branthwaite: Overview"]. Premier League. Iliwekwa mnamo 22 Machi 2024.
{{cite web}}: Check|url=value (help)[dead link]
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jarrad Branthwaite kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |