Jaroslav Heyrovský

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jaroslav Heyrovsky

Jaroslav Heyrovsky (20 Desemba 189027 Machi 1967) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ucheki. Hasa anajulikana kwa kuvumbua polarografia. Mwaka wa 1959 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jaroslav Heyrovský kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.