Jann-Fiete Arp

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Jann-Fiete Arp

Jann-Fiete Arp (amezaliwa 6 Januari 2000) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Ujerumani ambaye anacheza mbele kwenye timu ya Bayern Munich. Pia anawakilisha Ujerumani katika kiwango cha kimataifa kwa vijana.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jann-Fiete Arp kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.