Janina Dziarnowska
Mandhari
Janina Dziarnowska (née Tołwiński, 13 Novemba 1903 – 22 Desemba 1992) alikuwa mwandishi na mtafsiri wa Kipolandi aliyezaliwa Ukraine, pia alikuwa mchambuzi wa vyombo vya habari na mtaalamu wa fasihi ya Kisovyeti.[1]
Aliandika kwa mtindo wa Socialist realism nchini Poland. Dziarnowska alikuwa mwanachama wa Chama cha Kikomunisti cha Poland na baadaye cha Polish United Workers' Party.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "DZIARNOWSKA Janina". Polscy pisarze i badacze literatury XX i XXI wieku (Polish Writers and Literature Researchers of the 20th and 21st Centuries) (kwa Polish). Iliwekwa mnamo 16 Mei 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Janina Dziarnowska kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |