Jane Wanjuki Njiru
Mandhari
Jane Wanjūki Njirū ni mwanamke mwanasiasa kutoka Kenya. Alihudumu kama Mwakilishi wa Wanawake wa Kaunti ya Embu kuanzia 2017 hadi 2022, akiwa pia mwanachama wa chama tawala cha Jubilee. Alishiriki kwenye Chaguzi za Jumla za 2017 na kushinda kiti cha Mwakilishi wa Wanawake wa Embu.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Hon. Njiru, Jane Wanjuki | The Kenyan Parliament Website". www.parliament.go.ke. Iliwekwa mnamo 2020-08-11.
- ↑ embu-admin. "About Embu County". Embu County Government (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-03-27. Iliwekwa mnamo 2020-08-12.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa huyo wa Kenya bado ni mbegu. Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |