Jane & Abel
![]() | Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
![]() | Kuna pendekezo la kufuta makala hii. Ona majadiliano kwenye ukurasa wa majadiliano na hapa. Unaweza kuondoa kigezo hiki baada ya mapatano kwenye ukurasa wa "Wikipedia:Makala kwa ufutaji" (tazama juu). |
Jane & Abel ni igizo la televisheni nchini Kenya kwa mara ya kwanza lilionyeshwa tarehe 4 septemba mwaka 2015 katika Maisha Magic East. Nyota wa igizo ni Lizz Njagah na Brian Ogola. Mumbi Maina akiwa kama mpinzani.[1]
Wahusika[hariri | hariri chanzo]
- Lizz Njagah[2] ana igiza kama Jane[3][4]
- Brian Ogola[5] ana igiza kama Abel Simba[6]
- Sarah Hassan[7] asna igiza kama Leah[8]
- Mumbi Maina[9] ana igiza kama Cecelia
- Angel Waruinge[10] ana igiza kama Aida Simba[11]
- Helena Waithera ana igiza kama Lucy
- Charlie Karumi ana igiza kama Tony
- Tracy Mugo
- Justin Mirichii
- David Gitika
- Kirk Fonda
- Innocent Njuguna
- Chris Kamau
- Neville Misati ana igiza kama Patrick
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ "Jane & Abel", Wikipedia (in English), 2022-08-06, retrieved 2022-08-16

- ↑ HOT: Angel Waruinge (en-US). KenyaBuzz LifeStyle (2014-10-09). Iliwekwa mnamo 2022-08-16.
- ↑ THE SINS OF THE FATHER… | Spielworks Media. web.archive.org (2016-03-04). Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 2022-08-16.