Jan Jakub Quirin Jahn
Mandhari
Jan Jakub Quirin Jahn (4 Juni 1739 – 18 Agosti 1802) aliyezaliwa katika mji wa Praha, alikuwa mchoraji wa mambo ya kale na msanii kutoka Bohemia. Jahn alijifunza uchoraji angali na umri mdogo chini ya uangalzi wa baba yake hadi mwaka 1758 na baadae alianzisha kikundi cha wachoraji kilichojumuisha Jan Ferdinand Schor na František Xaver Palko. Kutoka mwaka 1761 alisoma Sanaa katika chuo cha Academy.[1]