Jamii:Sayansi bandia
Mandhari
Sayansi bandia ni imani, taarifa, au vitendo ambavyo vinawasilishwa kana kwamba ni sayansi, lakini havifuati misingi ya njia za kisayansi. Madai yake mara nyingi hukosa ushahidi wa kutosha na hayawezi kuthibitishwa kwa majaribio ya kuaminika. Kwa kifupi, inaonekana kama sayansi lakini si sayansi halisi.
Makala katika jamii "Sayansi bandia"
Jamii hii ina ukurasa ufuatao tu.